Machapisho

SANAA NA UBUNIFU

Picha
Sanaa ni mojawapo ya kumbukumbu ambazo wasanii wengi wanazifanya kwa mfumo tofauti kwa mfano:- (1)-Kunawengine wanafanya sanaa ya muziki (2)-Kunawengine wanachora picha tu kuandika hawezi. (3)-Kunawengine wanacheza na nyoka (4)-Kunawengine wanacheza na moto ukiwa unawaka kichwani lakini haungui kweli Sanaa ni kubwa. Sanaa imegawanyika Sana. Tazama sanaa za Swahili Art-jcky artistic ni tofauti kidogo na zile ninazo shughurika nazo. Asante kwa kunielewa jaribu kuendelea kusoma ili upate kile unacho penda kupitia sanaa Tu Baadhi Ya Kazi Za Swahili Art-jcky  Jacky artistic 

PICHA HIZI NI MOJAWAPO YA UBUNIFU

Picha

UCHONGAJI MAANDISHI NA UCHORAJI PICHA

Picha
Kazi za Swahili Art-jcky artistic  ni mojawapo ya ufanisi wa ubunifu. Kama kuandika maandishi Kwenye mbao na uchoraji Picha kwa kutumia (Gpsam) Ukutani.

UCHORAJI WA PICHA UKUTANI.Nikazi ambayo inahitaji ujasiri wa kufanya kazi za juu.Hasa kama hii picha ya punda milia wakiwa kwenye mazingira mazuri ya kuvutia .picha hii imechorwa na swahili art-jack artistic

Picha
Imechorwa na rangi za maji. Katika hospital ya wilaya ya rorya.{KMT }kwenye wodi ya watoto kwa ajili ya wototo ama mtoto akiwa anatibiwa pale anapo angalia picha ukutani anajisikia  uafadhali.wataalamu wanaonelea hilo linafaa kwa kuangalia mazingira ya picha za kuchora ama picha zinazo ashiria upendo nakutafakari picha huku akiendelea na huduma.

Swahili art-jack artistic:                Swahili art-jack artisticNi jina a...

Swahili art-jack artistic:                Swahili art-jack artistic Ni jina a... :                Swahili art-jack artistic Ni jina ambalo nalitumia  likiwa na maana ya kwamba... SWAHILI--ni lugha ambayo natumia. ART---...

Mojawapo ya kazi za uchoraji.

Picha
Art

Mojawapo ya picha za kuchora kwa kutumia rangi za maji.

Picha
Uchoraji wa picha mbalimbali.