Machapisho maarufu kutoka blogu hii
UCHONGAJI MAANDISHI NA UCHORAJI PICHA
UCHORAJI WA PICHA UKUTANI.Nikazi ambayo inahitaji ujasiri wa kufanya kazi za juu.Hasa kama hii picha ya punda milia wakiwa kwenye mazingira mazuri ya kuvutia .picha hii imechorwa na swahili art-jack artistic
Imechorwa na rangi za maji. Katika hospital ya wilaya ya rorya.{KMT }kwenye wodi ya watoto kwa ajili ya wototo ama mtoto akiwa anatibiwa pale anapo angalia picha ukutani anajisikia uafadhali.wataalamu wanaonelea hilo linafaa kwa kuangalia mazingira ya picha za kuchora ama picha zinazo ashiria upendo nakutafakari picha huku akiendelea na huduma.
Maoni
Chapisha Maoni