Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2017

UCHORAJI WA PICHA UKUTANI.Nikazi ambayo inahitaji ujasiri wa kufanya kazi za juu.Hasa kama hii picha ya punda milia wakiwa kwenye mazingira mazuri ya kuvutia .picha hii imechorwa na swahili art-jack artistic

Picha
Imechorwa na rangi za maji. Katika hospital ya wilaya ya rorya.{KMT }kwenye wodi ya watoto kwa ajili ya wototo ama mtoto akiwa anatibiwa pale anapo angalia picha ukutani anajisikia  uafadhali.wataalamu wanaonelea hilo linafaa kwa kuangalia mazingira ya picha za kuchora ama picha zinazo ashiria upendo nakutafakari picha huku akiendelea na huduma.

Swahili art-jack artistic:                Swahili art-jack artisticNi jina a...

Swahili art-jack artistic:                Swahili art-jack artistic Ni jina a... :                Swahili art-jack artistic Ni jina ambalo nalitumia  likiwa na maana ya kwamba... SWAHILI--ni lugha ambayo natumia. ART---...

Mojawapo ya kazi za uchoraji.

Picha
Art

Mojawapo ya picha za kuchora kwa kutumia rangi za maji.

Picha
Uchoraji wa picha mbalimbali.
Picha
               Swahili art-jack artistic Ni jina ambalo nalitumia  likiwa na maana ya kwamba... SWAHILI--ni lugha ambayo natumia. ART----------nashughulika na uchoraji JACK.....njina langu ambalo natumia ARTISTIC.....ni jina linalo jumuisha kazi zote za sanaa.kupitia fani mbalimbali. Ubunifu wa kazi za sanaa..nk.. Madhumuni ya blogger hii ni kuona mambo mbali mbali  kupitia kazi za sanaa za mikono picha za kuchora picha mbalimbali kama photo za mazingira mazuri ya kuvutia. Pia kwa wale wanaopenda kukuza kipaji cha uchoraji wanaweza kutumia acount ya facebook-jackoblucas. Utapata mambo mazuri kupitia swahili art-jacky artistic kuna picha za art angalia na usome uelewe nini maana ya uchoraji. Nawatakia siku njema na furaha tele. Watoto  Wakijifunza  Uchoraji picha Katika  Ofisi  Ya Swahili Art-jcky  Artistic  Kuwafundisha Watoto  Kazi  Za  Sanaa P...