Swahili art-jack artistic
Ni jina ambalo nalitumia  likiwa na maana ya kwamba...

SWAHILI--ni lugha ambayo natumia.
ART----------nashughulika na uchoraji
JACK.....njina langu ambalo natumia
ARTISTIC.....ni jina linalo jumuisha kazi zote za sanaa.kupitia fani mbalimbali.

Ubunifu wa kazi za sanaa..nk..

Madhumuni ya blogger hii ni kuona mambo mbali mbali  kupitia kazi za sanaa za mikono picha za kuchora picha mbalimbali kama photo za mazingira mazuri ya kuvutia.

Pia kwa wale wanaopenda kukuza kipaji cha uchoraji wanaweza kutumia acount ya facebook-jackoblucas.

Utapata mambo mazuri kupitia swahili art-jacky artistic kuna picha za art angalia na usome uelewe nini maana ya uchoraji.
Nawatakia siku njema na furaha tele.

Watoto 
Wakijifunza 
Uchoraji picha
Katika 
Ofisi 
Ya
Swahili Art-jcky 
Artistic 

Kuwafundisha
Watoto 
Kazi 
Za 
Sanaa
Pamoja
Na 
Uchoraji 
Wa
Picha 
Mbalimbali 
Jifunze sasa
Na
Wewe
Utaweza. 
Nirahisi 

Pia 
Unaweza 
Kutoa 
Maoni
Yako 
Hapa
Chini ya picha
Utajibiwa. 

Asante. 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UCHORAJI WA PICHA UKUTANI.Nikazi ambayo inahitaji ujasiri wa kufanya kazi za juu.Hasa kama hii picha ya punda milia wakiwa kwenye mazingira mazuri ya kuvutia .picha hii imechorwa na swahili art-jack artistic