SANAA NA UBUNIFU

Sanaa ni mojawapo ya kumbukumbu ambazo wasanii wengi wanazifanya kwa mfumo tofauti kwa mfano:- (1)-Kunawengine wanafanya sanaa ya muziki (2)-Kunawengine wanachora picha tu kuandika hawezi. (3)-Kunawengine wanacheza na nyoka (4)-Kunawengine wanacheza na moto ukiwa unawaka kichwani lakini haungui kweli Sanaa ni kubwa. Sanaa imegawanyika Sana. Tazama sanaa za Swahili Art-jcky artistic ni tofauti kidogo na zile ninazo shughurika nazo. Asante kwa kunielewa jaribu kuendelea kusoma ili upate kile unacho penda kupitia sanaa Tu Baadhi Ya Kazi Za Swahili Art-jcky Jacky artistic