Machapisho maarufu kutoka blogu hii
UCHORAJI WA PICHA UKUTANI.Nikazi ambayo inahitaji ujasiri wa kufanya kazi za juu.Hasa kama hii picha ya punda milia wakiwa kwenye mazingira mazuri ya kuvutia .picha hii imechorwa na swahili art-jack artistic
Imechorwa na rangi za maji. Katika hospital ya wilaya ya rorya.{KMT }kwenye wodi ya watoto kwa ajili ya wototo ama mtoto akiwa anatibiwa pale anapo angalia picha ukutani anajisikia uafadhali.wataalamu wanaonelea hilo linafaa kwa kuangalia mazingira ya picha za kuchora ama picha zinazo ashiria upendo nakutafakari picha huku akiendelea na huduma.
Napenda kuwaalika katika page hii ya swahili art-jacky artistic inaelekeza mambo muhimu ya kiuchoraji na mambo ya vijana ambao wanahitaji walau malekezo ya fani zao za kiuchoraji sasa utaweza kuuliza jambo kuhusu jia gani unaweza kupita ili uweze kujuwa kuchora picha au kupaka rangi....ni mojawapo ya kazi ambazo nazifanya.
JibuFutaNi kazi nyingi nashughulika na nazo art.ubunifu wa picha za rangi.nk
Karibu uone kazi za swahili art-jacky artistic...
Ama unaweza kuingia facebook na kisha tafuta swahili art-jacky artistic.au jackob lucas..facebook..kama una swali la kiufundi (art)
kupitia page hii
Tafadhari kauli njema ndio mwanzo wa mazungumzo...karibu.